Leviticus 9:21

21 aAroni akaviinua vile vidari na paja la kulia mbele za Bwana ili viwe sadaka ya kuinuliwa, kama Mose alivyoagiza.

Copyright information for SwhNEN